Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo (kushoto) akipokea hundi cheki ya gawio la shilingi bilioni 5.7 kutoka kwa viongozi wa Benki ya NMB waliotoa jana (leo) jijini Dar es salaam kwa Serikali. Wengine ni Mtendaji Mkuu wa NMB(CEO) Mark Wiessing(katikati) na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya NMB Misheck Ngatunga(kulia). Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo (kushoto) akiongea na waandishi wa habari jana(leo) jijini Dar es salaam mara ya kupokea hundi ya gawio la shilingi bilioni 5.7 kutoka kwa viongozi wa Benki ya NMB waliotoa kwa Serikali. Wengine ni Mtendaji Mkuu wa NMB(CEO) Mark Wiessing(kulia) na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya NMB Misheck Ngatunga(katikati).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment