Nafasi Ya Matangazo

September 21, 2009

Baadhi ya akina mama waliojifungua katika siku kuu ya Idd El Fistri, Hospitali ya Amana Dar es Salaam wakiwa na watoto wao hospitalini hapo jana. Kutoka kulia ni Agnes Lely, Rehema Kalilo, Zubeda Alli, Asghura Nassoro na Maria Nassoro.
Posted by MROKI On Monday, September 21, 2009 1 comment

1 comment:

  1. Wee Faza Kidevu Mdini sana, umeshindwa hata kukututakia waislam Eid Mubaraq utafkiri hii blog ni ya wakristo peke yao..! Au unadhani wanaotembelea hii blog ni wakristo tu?? Ingekuwa Christmass au Pasaka tungeona maandishi makuuubwa ya happy christmass..! Sio kihivyo mkuu acha chuki...!

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo