KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
September 21, 2009
Watoto wa Idd El Fitri
Baadhi ya akina mama waliojifungua katika siku kuu ya Idd El Fistri, Hospitali ya Amana Dar es Salaam wakiwa na watoto wao hospitalini hapo jana. Kutoka kulia ni Agnes Lely, Rehema Kalilo, Zubeda Alli, Asghura Nassoro na Maria Nassoro.
Wee Faza Kidevu Mdini sana, umeshindwa hata kukututakia waislam Eid Mubaraq utafkiri hii blog ni ya wakristo peke yao..! Au unadhani wanaotembelea hii blog ni wakristo tu?? Ingekuwa Christmass au Pasaka tungeona maandishi makuuubwa ya happy christmass..! Sio kihivyo mkuu acha chuki...!

ReplyDelete