Nafasi Ya Matangazo

July 17, 2008

Wadau naomba mnisaidie kumtambua mtu huyu.
Posted by MROKI On Thursday, July 17, 2008 26 comments

26 comments:

  1. AnonymousJuly 17, 2008

    Huyu bila shaka yoyote ni Mzee Kingunge Ngombele Mwiru.Hapa nadhani ni wakati ule akiwa Katibu Mkuu wa Kwanza Mtanzania wa Umoja wa Vijana wa Afrika.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 17, 2008

    That's Kingunge Ngombale Mwilu.Hahhaaa

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 18, 2008

    Mzee wetu, mwanasiasa mkongwe, Mh. Kingunge Ngombale Mwilu, wakati wa ujana wake. What a strong handsome man!!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 18, 2008

    Huyu ni Kingunge Ngombale Mwiru.

    Tausi Usi Ame Makame
    Asker
    Norway.

    tausi@online.no

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 18, 2008

    Huyu ni Kingunge Ngombale Mwilu..

    ..Mkongwe

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 18, 2008

    Huyo ni Mtikila

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 18, 2008

    Ndugu Kingunge Ngombare Mwiru

    ReplyDelete
  8. Mkuu huyo ni Kingunge ngombare Mwiru..
    Naomba kuwasilisha.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 18, 2008

    Kingunge Ngomare Mwiru

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 18, 2008

    huyu ni kingunge ngombare mwiru alikuwa handsome

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 18, 2008

    kingunge ngombale mwiru

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 18, 2008

    huyo ni kingunge ngombale mwiru

    ni mimi mkuli nambari one

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 18, 2008

    Kinje's dad Kingunge Ngombale Mwiru.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 18, 2008

    kingunge ngombare mwilu

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 18, 2008

    Huyo ni mjamaa wa uongo,mmoja wa wale waliomwendea kinyume mwalimu ,zee la fitna KINGUNGE NGOMBALE MWIRU.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 19, 2008

    huyu ni mzee kingunge ngombale mwilu,ila enzi hizo alikua kijana kingunge.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 19, 2008

    Wewe Kidevu mbona hujaweka comment yangu? Nilikuambia huyu ni Mzee Kingunge Ngombale Mwiru.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 19, 2008

    Kingunge Ngombale Ngwale Mwiru

    ReplyDelete
  19. AnonymousJuly 19, 2008

    Huyo ni bingwawa Siasa za CCM mzee Kingunge Ngombale Mwiru zama za ujana wake. Haiyumkini picha hii ilipigwa miaka ya 1960 /63.

    ReplyDelete
  20. AnonymousJuly 19, 2008

    Kingunge Ngombare Mwiru

    ReplyDelete
  21. AnonymousJuly 19, 2008

    Huyu ni Keaton Morris au Kingunge Ngombale Mwiru mmoja kati ya wanasiasa wakongwe nchini Tanzania.
    Ingawa ana asili ya dini ya kikatoliki ni kiongozi pekee nchini tanzania asiyeabudu dini zozote za mwenyezi mungu na hivyo kubakia kuwa muumin wa siasa za kikomonisti, Alizaliwa Mwaka 1929 huko Kilwa Kivinje.

    ReplyDelete
  22. AnonymousJuly 20, 2008

    huyu ni Kingunge Ngombale Mwiru. japo nasikia hili si jina alilopewa awali na wazazi wake. Hili ni jina 'alilojibatiza' baada ya kunywa maji ya bendera ya ukoministi


    Kuna Jambo moja ambalo huyu mzee husimama kando from the rest of the politicians. huyu Mzee yeye si muumini wa dini yoyote unayoijua wewe. Ndio maana kila mara anakula kiapo hashiki biblia wala Quran.

    Mroki,
    Hebu pekua maktaba yako upate japo picha moja ya huyu mwanasiasa mkongwe akiapishwa ktk moja ya viapo alivyopitia ili usaidie wadau wako watambue msimamo wa huyu mzee.

    Ni kingunge kweli kweli ktk siasa za hapa bongo!

    ReplyDelete
  23. AnonymousJuly 22, 2008

    HUYO NI NDG. KILONTSI MPOLOGOMYI, MBUNGE MSTAAFU !!!!! Wote hapo juu wamekosea na kama kuna ZAWADI basi nitumiwe mimi kwa anuani pepe ifuatayo:-

    kichwabuta2001@yahoo.com; au
    mwendantwala@hotmail.com

    ReplyDelete
  24. AnonymousJuly 22, 2008

    Mheshimiwa huyo ni ndugu kilontsi Mpologomyi, kama alivyotanabahisha mwenzangu i.e. Kichwabuta Mwendantwala.

    ciao

    ReplyDelete
  25. AnonymousJuly 23, 2008

    Mroki Mroki watu wameotea vya kutosha tell us the correct answer.au unataka yafike 100

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo