Nafasi Ya Matangazo

July 17, 2008

Tamasha la Ngoma za Utamaduni na Maonyesho ya Biashara Mtwara
Mmoja wakurugenzi wa Taasisi ya Maendeleo ya Uchumi na Sanaa Afrika (ADEA), Douglas McFalls (kushoto) akionyesha vipeperushi katika mkutano na waandishi wa habari, alipotangaza kuwapo kwa Tamasha la Utamaduni la MAKUYA litakalo fanyika mwezi ujao mkoani Mtwara na kuhusisha makabila matatu ya mkoa huo. Kulia ni Mkurugenzi Mwenza, Philipo Lalile.
MAKUYA NI:- MAKONDE, KUWA NA YAO, Makabila ambayo yanapatikana katika mkoa wa Mtwara. Kazi kwenu huko tamaduni za kila namna za makabila hayo zitaonyesho.
MAHALI:- UWANJA WA NANGWANDA SIJAONA MTWARA
TAREHE:- 29 NA 30 AGOSTI 2008
MUDA:- SAA 3-12 JIONI
WAHUSIKA: Vikundi vya Ngoma za Utamaduni kutoka makabila matatu mnakubwa ya mkoa wa Mtwara, yaani Wamakua Wamakonde na Wayao na maonyesho ya bidhaa zenye asili ya mkoa wa Mtwara.
Posted by MROKI On Thursday, July 17, 2008 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo