Nafasi Ya Matangazo

July 17, 2008


Mmoja wa wagombea wa nafasi ya Uenyekiti wa taifa wa Umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Hussein Beshe (kulia) akipokea fomu hizo jana kutoka kwa katibu mkuu wa UVCCM, Francis Mtinga.

Aliwahi kuwa makamu wa Rais Serikali ya Wanafunzi Mzumbe 2001-2002
Ni Meneja Mauzo na usambazaji wa New habari Communication 2006 ltd.
Posted by MROKI On Thursday, July 17, 2008 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo