Nafasi Ya Matangazo

June 30, 2016


Meneja Masoko wa Kampuni ya New Habari(2006)Ltd, Michael Budigira, (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana. kuhusu uzinduzi wa mwonekano mpya wa Gazeti la Mtanzania lenye kauli mbiu ya "Mtanzania Limeboreshwa".Katikati ni Mhariri Mtendaji wa Kampuni hiyo, Absalom Kibanda na Mhariri wa Mtanzania, Dennis Msacky.
Mhariri wa Gazeti la Mtanzania, Dennis Msacky.akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana. kuhusu uzinduzi wa mwonekano mpya wa Gazeti la Mtanzania lenye kauli mbiu ya "Mtanzania Limeboreshwa"Katikati ni Mhariri Mtendaji Kampuni ya New Habari(2006)Ltd, Absalom Kibanda na Meneja Masoko wa Kampuni hiyo, Michael Bugidira.
Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya New Habari (2006)Ltd, Absalom Kibanda, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusu uzinduzi wa mwonekano mpya wa Gazeti la Mtanzania lenye kauli mbiu ya "Mtanzania Limeboreshwa".Kulia ni Mhariri Mtendaji wa  Mtanzania, Dennis Msacky na Meneja Masoko wa kampuni hiyo
baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni hiyo wakifuatilia mkutano huo 
Posted by MROKI On Thursday, June 30, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo