Nafasi Ya Matangazo

January 26, 2015

Waziri  wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Mhe. Christopher Chiza akipokea ua kutoka kwa mfanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Zubeda Ng'olongo kama ishara ya kumkaribisha ofisini hapo, leo Jijini Dar es Salaam,  ikiwa ni siku mbili baada ya kuteuliwa na kuapishwa  kushika wadhifa huo, awali Chiza alikuwa Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika.

Waziri  wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Mhe. Christopher Chiza akisalimiana na Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu leo Jijini Dar es Salaam, wakati alipo wasili ofisini hapo  ikiwa ni siku mbili baada ya kuteuliwa na kuapishwa  kushika wadhifa huo, awali Chiza alikuwa Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika.
 Baadhi ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakisalimiana na Waziri  wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Mhe. Christopher Chiza  leo Jijini Dar es Salaam, wakati alipo wasili ofisini hapo  ikiwa ni siku mbili baada ya kuteuliwa na kuapishwa  kushika wadhifa huo, awali Chiza alikuwa Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika.
Waziri  wa Nchi Mpya wa Ofisi Rais  (Uhusiano na Uratibu) Mhe. Dkt. Mary Nagu ambaye awali alikuwa Waziri  wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) akimkabidhi baadhi ya nyaraka Waziri  wa Nchi Mpya wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Mhe. Christopher Chiza , leo Jijini Dar es Salaam,  ikiwa ni siku mbili baada ya kuteuliwa na kuapishwa  kushika wadhifa huo, awali Chiza alikuwa Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika.
Posted by MROKI On Monday, January 26, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo