Nafasi Ya Matangazo

August 01, 2012

ESHY VIP Collection iliyopo Mwananyamala jijini Dar es salaam inawakaribisha wadau wote dukani hapo kujipatia pamba za ukweli za wake kwa waume, kufika dukani hapo na kujipatia viwalo bomba na vya uhakika kwa gharama nafuu kabisa. Hakika ESHY VIP ndio wenyewe wa kukufanya umeremete na uwe na mvuto wa aina yake hapa mjini.
Wasiliana nao sasa Wapo Mwananyamala A jijini Dar es Salaam. eshymushi@gmail.com au kwa simu 0713 333127 au 0773333123
 Hakika pamba za ESHY VIP ni zauhakika fika sasa bila kuchelewa kabla mzigo mpya haujakatika.
 ESHY VIP ni kiboko maana wao wamekuletea na manukato na marashi mazuri ya kunukia kutoka huko kwa wenzetu haya ni kwaajili ya kuogea, kufulia na kupaka pia, unachelewa wahi sasa. (Udi ,vitezo,udi wa kuogea na kufulia).
Viatu vipo na nguo zipo za kila namna hapa ni sampo tu tumekuwekea lakini ukifika dukani kwetu hutatoka bila kununua kitu au kujaza begi.
Posted by MROKI On Wednesday, August 01, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo