Nafasi Ya Matangazo

August 01, 2012

 Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Wazee wa kijiji cha Chokocho Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Pemba Leo,akiwa katika ziara maalum kisiwani humo.
 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema  Shein,akisalimiana na Wazee wa kijiji cha Chokocho Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Pemba Leo,akiwa katika ziara maalum kisiwani humo.
Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Watoto wa  kijiji cha Chokocho Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Pemba Leo,akiwa katika ziara maalum Kisiwani humo.
Posted by MROKI On Wednesday, August 01, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo