Nafasi Ya Matangazo

June 04, 2012

 Mwili wa Marehemu Noela ukiingizwa nyumbani kwao kwa sala kabla ya kusafirishwa kuelekea mkoani Shinyanga kwa mazishi.
 Kaburi la Noela aliyezikwa leo Kijijini kwao Shinyanga
 Noela enzi za uhai wake.
 Mama Tunu Pinda akiongoza waombolezaji wakati wa maombo kwa ajili ya marehemu katika msiba huo.

 Baadhi ya ndugu wa marehemu wakiwa katika ibada hiyo jana.

 Bw. Nestor Mapunda kulia Shemeji wa marehemu Noela akiwa amekaa pamoja na Rais wa TFF Leodger Tenga katikati.
 Padri akiongzoa waombolezaji katika swana ya kumuombea marehemu Noela.
 Mama Tunu Pinda akimfariji Teddy Mapunda wakati alipokuwa akimlilia  marehemu mdogo wake Noela wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa marehemu nyumbani kwake Mbezi Beach.
 Waombolezaji ndugu na jamaa wakilia kwa uchungu wakati wa kuaga mwili wa marehemu.
 Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti Ephraim Mafuru katika  akijumuika napamoja na waombolezaji wengine katika msiba huo.
 Mama Pinda akitoa heshima zake za mwisho kwa marehemu Noela .
 Teddy Mapunda akifarijiwa na Nandi Mwiyombela huku akilia kwa uchungu wakati  akiaga mwili wa marehemu mdogo wake.
Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti Ephraim Mafuruna Rais wa TFF Leodger Tenga wakitoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa marehemu Noela.
 Mkurugenzi wa Fullshangwe John Bukuku akipita kutoa heshimza za mwisho kwa mwili wa marehemu Noela.
 Teddy Mapunda akitoa heshima za mwisho kwa marehemu mdogo wake Noela.
Wazazi wakitoa heshima  za mwisho kwa marehemu Noela.
Posted by MROKI On Monday, June 04, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo