Nafasi Ya Matangazo

May 15, 2012

Justin Ndege (kushoto) akiwa na wadau wa Kampuni ya Sky Light Entertainment ambao ndio waandaaji wa SKYLIGHT Parties itakayofanyika jijini Dar es Salaam kila mwezi mara moja katika kumbi mbalimbali za jijini la Dar es Salaam.
Mdau akishow love mbele ya Camera ya MO BLOG.
Warembo wakindaa Cocktail kwa Wageni waalikwa katika Pre Launch ya Skylight Parties iliyofanyika Nyumbani Lounge jijini Dar es Salaam.
DJ Too Short akifanya mixing za ukweli Nyumbani Lounge.
Babu wa kitaa na Romeo Jones walikuwa miongoni mwa wageni waalikwa.
Sebastian Ndege(kulia) akiwa na wadau.
Stay Tuned for more Updates about the Event on FK BLOG.
Posted by MROKI On Tuesday, May 15, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo