Nafasi Ya Matangazo

May 14, 2012

 Geneza la mwili wa marehemu Rachel Mwiligwa likiwa kanisani leo wakati wa ibada ya mazishi.Marehemu Rachel Mwiligwa alifariki usiku wa kuamkia Ijumaa iliyopita na anazikwa leo huko Goba jijini Dar es salaam.
 Mkurugenzi Mtendaji wa New Habari  Bw. Hussein Bashe akitoa heshima zake za mwisho mbele ya mwili wa marehemu Rachel Mwiligwa ulioagwa leo katika kanisa la Anglican usharika wa Ubungo na kuhudhuriwa na wanahabari kutoka vyombo mbalimbali vya habari, Marehemu Rachel Mwiligwa alifariki usiku wa kuamkia Ijumaa iliyopita na anazikwa leo huko Goba jijini Dar es salaam.
 Mmoja wa wahariri wa habari za michezo New Habari Bw. Isiji akilia kwa uchungu wakati alipotoa heshima zake za mwisho kwa marehemu.
 Mkurugenzi wa Radio One Deo Rweyunga akiaga mwili wa marehemu Rachel huku akiwa ameongozana na Mwandishi wa Makamu wa Rais Boniface Makene.
 Mbunge wa jimbo la Ubungo John Mnyika akitoa heshima zake kwa marehemu huku akiwa ameongozana na Mbunge wa jimbo la Kinondoni Idd Azan.
 Mwandishi Grace Hoka akilia kwa uchungu.
Picha zaidi Bofya HAPA
Posted by MROKI On Monday, May 14, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo