Nafasi Ya Matangazo

April 01, 2012

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu chamaombolezo nyumbani kwa marehemu Balozi Raphael Lukindo huko Sinza jijini Dares Salaam aliyefariki dunia usiku wa kuamkia jumanne tarehe 27 Machi na kuzikwaIjumaa tarehe 30 Machi katika makaburi ya Kinondoni Jijini Dare s Salaam.MarehemuBalozi Lukindo aliyestaafu Mwaka 1988 aliitumikia serikali katika balozimbalimbali nje ya nachi ikiwemo Japan,Urusi,Poland,Hungary na Czechoslovakia.Marehemuameacha mjane na watoto wanne.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Bibi TerezaMvaa Lukindo,mke wa marehemu Balozi Raphael Lukindo wakati Rais Kikwetealipokwenda nyumbani kwa marehemu Sinza jijini Dar es Salaam kuwapa pole nduguna jamaa kutokana na kifo cha Balozi huyo aliyezikwa juzi Ijumaa katikamakaburi ya Kinondoni
Posted by MROKI On Sunday, April 01, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo