Nafasi Ya Matangazo

April 01, 2012

 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal,akipanda mti leo Aprili 01, 2012, ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku yaupandaji miti inayoadhimishwa nchini kote kila ifikapo Aprili 01, kila mwaka.
  Wanafunzi wakipanda  miti katika chanzo cha maji cha kijiji cha Ilongero, Singida ambako waziri Mkuu Mizengo Pinda aliongoza shughuli hiyo Aprili 1, 2012 ikiwa ni siku ya kitaifa ya upandaji  miti
 Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akipanda mti kwenye chanzo cha maji katika kijiji cha  Ilongero, Singida Aprili 1, 2012 ikiwa ni siku ya kitaifa ya upandaji miti.  Aliyesimama kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo, Vincent Perseko Ole Kone.
 Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akikagua kisima  kirefu cha maji baada ya kuongoza upandaji miti katika kijiji cha Ilongero , Singida Aprili 1, 2012 ikiwa ni siku ya kitaifa ya upandaji iti Kushoto ni mkuu wa mkoa huo, Vincent  PersekoOle- Kone.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akitazama ngoma ya asili ya kabila la Wanyaturu  wakati alipoongoza upandaji wa miti katika kijiji cha Ilongero ,Singida Aprili 1,2012 ikiwa ni siku ya kitaifa ya upandaji miti.
Posted by MROKI On Sunday, April 01, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo