Nafasi Ya Matangazo

January 05, 2012

Rais Mstaafu wa awamu ya sita wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Aman Karume akikata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo jipya la ghorofa moja la Skuli ya Mwembe shauri ikiwa ni shamra shamra za kutimia miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais Mstaafu wa awamu ya sita wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Aman Karume akifungua kitambaa kuashiria uzinduzi wa jengo jipya la ghorofa moja la Skuli ya Mwembe shauri ikiwa ni shamra shamra za kutimia miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais Mstaafu wa awamu ya sita wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Aman Karume akihutubia wananchi,walimu na wanafunzi waliohudhuria katika uzinduzi wa Jengo la Ghorofa moja la Skuli ya Mwembe shauri, kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Abdalla Mwinyi na mwengine ni Mke wa Rais huyo mstaafu Mama Shadya Karume ikiwa ni shamra shamra za kutimia miaka 48 ya Mapinduzi.
Rais Mstaafu wa awamu ya sita wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk.Aman Karume akipatiwa maelezo na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali,Ramadhan Abdulla Shaabani kuhusu moja ya madarasa ya Skuli hiyo ya Ghorofa moja iliyojengwa Mwembe shauri Zanzibar ikiwa ni shamra shamra za kutimia miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais Mstaafu wa awamu ya sita wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dk.Aman Karume akisalimiana na wanafunzi wa Skuli ya Mwembe shauri kabla ya kuzindua jengo la Ghorofa moja la Skuli hiyo, kulia kwake ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ramadhan Abdulla Shaabani ikiwa ni shamra shamra za kutimia miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Posted by MROKI On Thursday, January 05, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo