Nafasi Ya Matangazo

November 06, 2011

Kitendawili cha nani atavaa taji la Miss World 2011 kinataraji kuteguliwa leo wakati wa Fainali za mashindano hayo zitakapo fanyika katikaukumbi wa Earls Court ndani ya jiji la London Uingereza. Tanzania katika mashindano hayo ya urembo ambayo ni makubwa Duniani inawakilishwa na Miss Tanzania 2011, Salha Izarael Kifai. Tyari mapema wiki hii Salha alifanikiwa kuingia katika 16 bora ya shindano dogo la Beauty with Purpose. Blogu hii ya Father Kidevu inaungana na watanzania wote popote pale ulimwenguni kumtakia kila la heri Salha katika mashindano hayo. Mungu Mbariki Salha, Mungu ibariki Tanzania.

Posted by MROKI On Sunday, November 06, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo