Nafasi Ya Matangazo

November 06, 2011

Rais Jakaya Kikwete akimsalimu na kumpa pole mtoto Ali Abdul kutoka Rufiji, Mkoa wa Pwani, aliyefanyiwa upasuaji wa kuzibua mshipa wa damu ulioziba  aliofanyiwa na madaktari bingwa wa kutoka India walio nchini kwa ziara ya kikazi ya wiki moja katika kitengo cha tiba ya figo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam Jumamosi jioni.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na madaktari bingwa wa kutoka India walio nchini kwa ziara ya kikazi ya wiki moja katika kitengo cha tiba ya figo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam Jumamosi jioni
Rais Jakaya Kikwete akiongea na madaktari bingwa wa kutoka India walio nchini kwa ziara ya kikazi ya wiki moja katika kitengo cha tiba ya figo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam Jumamosi jioni
Posted by MROKI On Sunday, November 06, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo