Nafasi Ya Matangazo

March 17, 2011

 Mbunge wa Kigoma Kaskazini na Naibu Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni (Chadema) Zitto Kabwe akitia saini kitabu cha maombolezo ya wahanga wa jimbo la Tohoku nchini Japana Machi 17, 2011 katika Ofisi za Ubalozi wa Japan nchini Tanzania. Zitto amekuwa ni miongoni wa Viongozi na watanzania wanaojitokeza kutoa pole kwa wananchi hao wa Japan.
Zitto akipeana mkono wa Pole na Balozi wa Japan nchini, Balozi Hiroshi Nakagawa
Posted by MROKI On Thursday, March 17, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo