Nafasi Ya Matangazo

March 18, 2011

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Lazaro Nyalandu(Katikati), akifurahia jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Viwango nchini TBS Bw Charles Ikerege(Kushoto). Anaezungumza ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika hilo Prof  Apollikaria Pereka aliyekuwa akimkaribisha Mh Nyalandu kutembelea shirika hilo Alhamisi wiki hii.  
Naibu Waziri Nyalandu akitembelea maabara na maeneo mbali mbali katika ziara yake ya kutembelea Shirika la Viwango nchini TBS 
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Lazaro Nyalandu katika Picha ya Pamoja na Viongozi na Maafisa wa Wizara yake na Shirika la Viwango nchini TBS mara baada ya kutimisha ziara ya kulitembelea shirika hilo.
Posted by MROKI On Friday, March 18, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo