Nafasi Ya Matangazo

March 17, 2011

 Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Emmanuel Nchimbi (kushoto) akiongea na viongozi wa riadha nchini (hawapo pichani) kuhusu maendeleo ya mchezo wa riadha. Kulia  ni Rais wa Riadha Tanzania Francis John . 
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Emmanuel Nchimbi (katikati) akiongea na viongozi wa Chama Cha Riadha nchini kuhusu maendeleo ya mchezo wa riadha. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Michezo Leonard Thadeo na kulia ni Rais wa Riadha Tanzania.
Katibu Mkuu wa Chama cha Riadha Tanzania Suleiman Nyambui akiongea kuhusu matatizo yanayowakabili wanariadha hapa nchini wakati wa mkutano baina ya viongozi wa riadha na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Emmanuel Nchimbi (khayupo pichani) uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari (Maelezo).
Posted by MROKI On Thursday, March 17, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo