Nafasi Ya Matangazo

July 29, 2010

Wenyeji wa kisubiri wageni wao Uwanja wa Ndege wa Mwalimu JK Nyerere Dar es Salaam.
Hawa ni wasafiri wakiwa katika foleni ya kuondoka kwenda sehemu mbalimbali duniani.
Jamaa hawa ni wageni nadhani kwao kufika Tanzania ni bahati ama hawakutegemea kufika salama. Pichani ni wakibusu ardhi ya Tanzania baada ya kuwasili na kutoka salama uwanjani hapo.

Posted by MROKI On Thursday, July 29, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo