Nafasi Ya Matangazo

July 29, 2010

Wanachama na wapigakura wa UWT wakijadiliana jambo wakati wakipitia moja y kitabu cha wasifu wa mgombea.
Wanachama wakigawiwa karatasi kwaajili ya kupigia kura za Wagombea Ubunge wa Viti Maalum Dar es Salaam.
Mshindi Viti maaluum kupitia NGOs mkoa DSM Ritha Louise Mlaki jana akishangiria baada ya kutangazwa mshimdi.
Mshindi wa Kwanza Viti maalum Mkoa wa DSM Zarina Shamte Madabida baada ya kutangazwa jana.
Wapigakura wa Wilaya ya Ilala wakiwa katika mkutano huo.
Viti Maalum mngombea DSM akiomba kura jana Janeth Masaburi jana kati ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es Salaam.
Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO

Posted by MROKI On Thursday, July 29, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo