Nafasi Ya Matangazo

July 29, 2010

Rais Jakaya Kikwete leo amewaapisha Manaibu Katibu Wakuu 9 katika hafla iliyofanyika Ikulu Dar es Salaam leo asubuhi. Rais Jakaya Kikwete akimwapisha Bwana Ngosi Charlestino Xavier Mwihava kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira.
Bwana Mwihava akitia saini kiapo chake Ikulu mbele ya Rais Kikwete.
Rais Jakaya Kiwete akitia saini kiapo cha Bwana Mvihava baada ya kumwapisha. Rais Jakaya Kikwete akimpa mono wa pongezi Bwana Ngosi Charlestino Xavier Mwihava kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira. Picha ya pamoja ya Manaibu Katibu wa Kuu na Rais baada ya kula viapo vyao Ikulu leo. Mwihava akifanya mahojiano na waandishi wa Habari baada ya kuapishwa Ikulu Leo.
Akipata pongezi kutoka kwa wanafamilia na watumishi wa ofisi yake.
Posted by MROKI On Thursday, July 29, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo