Nafasi Ya Matangazo

July 30, 2010

Abiria wa Daladala za Ndege wakienda kupanda ndege moja wapo ndogo tayari kwa saafari ya Zanzibar.
Spika wa Baraza la Mapoinduzi Zanzibar Amir Pandu Kificho nae alienda kupanda akitokea Dar es Salaam.
Sehemu ya mji wa Zanizbar angani...
Bandari ya Malindi Zanzibra ikionekanba kwa juu...
Makazi ya wananchi wa Zanzibar kaam yalivyo katika mpangilio maalum wa kupendeza.
Huu ni uwanja wa wazi utumikao kwa mikutano ya siasa na dini mjini Unguja Zanzibar uliopo karibu na uwanja wa Amani.
Uwanja wa Michezo wa Amani mjini Unguja Zanzibar kama unavyooneklana sasa baada ya ukarabati mkubwa.

Posted by MROKI On Friday, July 30, 2010 1 comment

1 comment:

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo