Nafasi Ya Matangazo

July 30, 2010

Mabango ya Hamasa ya kuwataka wananchi nawao kusema NDIO kama viongozi wa Juu wa Zanziubar walivyosema.
Wakazi wa Zanzibar wakipita katyika moja ya mitaa ya Mji Mkongwe Zanzibar ambao kuta zake nyingi zimepambwa na mabango ya Kura za Maoni ya Serikali ya Mseto ambayo inapigwa Kesho July 31 2010.
Bango la Hamasa
Mmoja wa wanahabari ambao wapo Visiwani humo kwaajili ya zoezi hilo la Kura ya Maoni kesho akichukua picha katika moja ya kuta zilizopo mji Mkongwe Zanzibar.

Posted by MROKI On Friday, July 30, 2010 1 comment

1 comment:

  1. AnonymousJuly 30, 2010

    asante kwa picha lakini naona hapo shamhuna ajafurai na dr bilali kupiga kura ya ndio.

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo