Nafasi Ya Matangazo

July 29, 2010

Waziri anae maliza Muda wake Agosti 1 2010 akiwa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Margareth Sitta (pichani) pamoja na watu wengine tisa amekamatwa na kikosi cha Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini Tanzania, TAKUKURU, huko mkoani Tabora baada ya upekuzi wa mikoba ndani ya gari lake kukutwa na zaidi ya shilingi za Kitanzania milioni saba, bahasha za khakhi zaidi ya mia moja, simu saba aina ya NOKIA na vitu vingine.
Inasadikika vitu hivyo vingepewa baadhi ya wajumbe ambao wangepiga kura katika uchaguzi wa wagombea Ubunge viti maalumu uliofanyika mkoani humo jana.
Posted by MROKI On Thursday, July 29, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo