Mshindi wa Vodacom Miss Sinza, Amisuu Malik,
akilia kwa furaha baada baada ya kutawazwa kuwa Vodacom Miss Sinza 2010, Kushoto ni mshindi wa pili, Caroline Ndembo na kulia ni Salma Ally ambaye aliyeshika nafasi ya tatu, shindano hilo lilifanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa Vatican City, Sinza Jijini Dar es Salaam.

0 comments:
Post a Comment