Nafasi Ya Matangazo

May 30, 2010

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Saidi Ally Mwema akilenga shabaha kwa ishara ufunguzi wa maonyesho ya utayari katika kujihami na uhalifu wakati alipotembelea uwanja wa mazoezi Mpitimbi Wilayani Songea akiwa katika ziara ya kikazi Mkoani Ruvuma.Askari wa Kikosi cha kutuliza Ghasia wakishiriki katika mazoezi maalum ya namna ya kumbambana na wahalimu hivi karibuni mjini Songea ambapo yalishuhudiwa na kuongozwa na IGP Said Mwema.
Posted by MROKI On Sunday, May 30, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo