Nafasi Ya Matangazo

March 25, 2010

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA,Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Monduli Mhe.Edward Lowasa mara baada ya Mama Salma kuwasiri mjini Monduli kwa ziara ya siku moja wilayani humo Machi 24, 2010.Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akifungua rasmi zahanati ya kijiji cha Oltukai kilichoko katika wilaya ya Monduli Machi 24, 2010.
Posted by MROKI On Thursday, March 25, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo