Nafasi Ya Matangazo

March 25, 2010

Lori hilo likionekana kwa nyuma huku gari la abirila likiwa halionekani kwa chini.Leo alfajiri katika barabara ya Morogoro katika daraja la Kibamba lori la mafuta lililokuwa lilokuwa likitokea jijini Dar es Salaam na daladala iliyokuwa ikitokea kibamba ziligongana na daladala kuflaliwa na tela la mafuta na kusababisha vifo vya abiria na wafanyakazi wa daladala hilo. Askari na raia wakipeana maelekezo ya namna ya kuondoa magari hayo ili kuzinasua maiti zilizokwama katika. Tanka la mafuta likinyanyuliwa ili kuondoa maiti waliokuwa katika daladala hilo.
Inaaminikuwa zaidi ya watu kumi walikuwa papohapo katika ajali hiyo na hakuna abiria hata mmoja aliyetoka katika gari hilo. Daladala hiyo inadaiwa ilianzia safari zake Kibamba kuja katikati ya jiji alfajiri.
Posted by MROKI On Thursday, March 25, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo