Nafasi Ya Matangazo

March 31, 2010


Siku Mbili baada ya Mbunge wa Kishapu Fredy Mpendazoe kutangaza kuhamia CCJ, Viongozi waandamizi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Yusuf Makamba ambaye ni Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu wake George Huruma Mkuchika wamekihama chama hicho na kufuata upinzani.

Hatua hiyo ya kukihama CCM wameifika jana kwa nyakati tofauti na kuahidi kuleta maendeleo makubwa huko walipo.
leo siku ya wajinga.

Kufuatia hali hiyo lile ambalo lilisemwa na CCJ kuwa vigogo wengi wa CCM watahamia huko limeanza kudhhirika rasmi.
Posted by MROKI On Wednesday, March 31, 2010 1 comment

1 comment:

  1. sikukuu za wajinga afadhali ni hadi saa nne (ingawaje hii umeiposti tarehe 31 Machi badala ya Aprili 1, mi nimekustukia tu)

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo