Nafasi Ya Matangazo

April 01, 2010

Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Utawala Bora, Sofia Simba akizindua rasmi bvipeperushi wa elimu kuhusu Sheria ya Gharama za Uchaguzi Dar es Salaam jana. Kulia ni Msajili wa Vyama vya Siasa nchini John Tendwa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Evance Balama.
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Utawala Bora, Sofia Simba akizindua rasmi bvipeperushi wa elimu kuhusu Sheria ya Gharama za Uchaguzi Dar es Salaam jana. Kulia ni Msajili wa Vyama vya Siasa nchini John Tendwa.
Baadhi ya wana CCM wakigawana vipeperushi hivyo Dar es Salaam jana.
Waliohudhuria uzinduzi huo wakifuatilia kwa makaini hotuba za wageni.
Posted by MROKI On Thursday, April 01, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo