Nafasi Ya Matangazo

March 02, 2010

Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia Afya njema na Amani tele moyoni mwangu katika tarehe ya leo ambayo ni muhimu na ya kipekee kabisa katika mwaka huu.Pia nawashukuru wazazi na familia nzima ya Michuzi bila kusahau Wadau wangu kwa kuniwezesha kuendeleza libeneke hadi leo hii,.Mungu awajaalie sana na muendelee kuwa pamoja nami siku zote.Nawashukuruni sana.

HEPI BESDEI TU MI
HEPI BESDEI TU MI
HEPI BESDEI DIA MIMI
HEPI BESIDE TU MIIIIIIIIIIIII.......

PAPA PAPA PAPA PAPA...........

BLOGU YA WATU INAMTAKIA MPAMBANAJI OTHMAN MICHUZI MAADHIMISHO MEMA YA TAREHE YAKE YA KUZALIWA NA MUNGU AMJALIE BUSARA NA HEKIMA KATIKA MAISHA YAKE.
Posted by MROKI On Tuesday, March 02, 2010 1 comment

1 comment:

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo