Nafasi Ya Matangazo

March 02, 2010


Hatimaye kile chama kilicho zua gumzo kuwa kinahusika na viongozi waandamizi wa serikali na wanasiasa nchini cha CCJ leo kimepata usajili wa Muda kwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini.

Pichani ni Viongozi wa Chama hicho Mwenyekiti wa CCJ , Richard Kiyabo (kulia) na Kataibu wake Renatusi Mwabihi wakionesha hati ya usajili na picha nyingine ni Mashabiki wakishangilia nje ya ofisi ya Msajili.
Posted by MROKI On Tuesday, March 02, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo