Nafasi Ya Matangazo

March 30, 2010

Mjumbe wa Halmashauri Mkuu wa Taifa ya CCM, Mkoa wa Morogoro, Aziz Abood, ( wapili kulia) akiangalia picha ya Rais Jakaya Kikwete, ikiwa ni ishara ya ufunguzi wa Ofisi ya Walezi Saccos ya wanachama wa Jumuiya hiyo ( wa kwanza kulia) ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa Wazazi , Macktridis Mdaku , ambaye pia Mwenyekiti wa Kamati ya Uchumi na Mipango , wakati wa halfa ya ufunguzi wa ofisi hiyo Machi 27 mwaka huu mjini Morogoro.
Posted by MROKI On Tuesday, March 30, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo