Nafasi Ya Matangazo

March 30, 2010

Mbunge wa Jimbo la Kishapu (CCM) Fred Mpendazoe (katikati) akitangaza kwa waandishi wa habari jana jijini Dar es salaam juu ya nia yake ya kuondoka Chama cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Jamii(CCJ) . Kulia ni Afisa Habari Mwandamizi wa Idara ya Habari Mwirabi Sise na kushoto ni Katibu Mwenezi wa CCJ Dickson Nghilily.


Mbunge wa Kishapu (CCM) Fred Mpendazoe Tungu ameripotiwa amejiengua CCM na kujiunga na CCJ. Amesamehe mafao yake ya Ubunge kwa miaka mitano na ameamua kukipa kisogo chama cha Mapinduzi.

Mpendazoe anakuwa Mbunge wa kwanza kuhamia chama hicho Kipya cha siasa kilicho na Usajili wa Muda.
Posted by MROKI On Tuesday, March 30, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo