Nafasi Ya Matangazo

December 06, 2009

Msanii toka Kenya Nonini akitumbuiza katika tamsaha maalum la ST8MUZIK FESTIVAL-Inter College Special 2009 lililofanyika mjini Mwanza usiku wa kuamkia leo.

Msanii toka Dar es Salaam Albert Mangwair akikamua mistari.
Ngwair akiwa katika pozi jukwaani kabala ya kuanza kutema mistari.
Msanii Redsun akiimba na mwanafunzi wa SAUT jukwaani.
Wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya jijini Mwanza wakijimwaga katika burudani. Vyuo hivyo ni pamoja na SAUT, CBE na Bugando.

Ilikuwa ni full kuteleza na biti.
Posted by MROKI On Sunday, December 06, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo