Nafasi Ya Matangazo

December 06, 2009

Jana nilifanya ziara ya siku moja ya kushtukiza katika jiji la Mwanza na hatimaye kufika katika sanamu hii ya Sangara na kupiganayo picha hasa kutokana na umaarufu wa sanamu hiyo kwa sasa jijini hapa.

Pia mdau wangu Ibrahim Kyaruzi nae alichapa kumbukumbu yake namna hii.
Babu na mjukuu nao walichukua kumbukumbu maana awali nilidhani ni sisi wakuja peke yetu hata wenyeji hufanya hivi.

Awali mawe haya ndio yalikuwa gumzo kubwa jijini Mwanza lakini Sangara yule sasa anapendezesha jiji la mwanza na kuwavutia wageni na wenyeji.
Posted by MROKI On Sunday, December 06, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo