Nafasi Ya Matangazo

December 16, 2009

Rachel alivyo Meremeta
Mtoto Rachel Nkya wa mjini Dodoma akinyoosha juu mkono kuonesha nyenzo yake ya Biblia aliyokabidhiwa baada ya kupokea kipaimara hibvi kartibu Katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Usharika wa Kanisa Kuu la Dodoma Desemba 13 mwaka huu.Mama mzazi wa Manka akimvisha taji binti yake baada ya kupokea kipaimara na kumkabidhi Biblia.Rachel (katikati) na wenzake wakionesha vyeti vyao. Sherehe ni watu na watu ndo kama hawa waliopamba tafrija ndogo ya Rachel katika Ukumbi wa Robert Hotel mjini Dodoma. Akipokea zawadi za pongezi.
Picha zote na MD Digital, 0755373999 & 0717002303 Dar es Salaam.
Posted by MROKI On Wednesday, December 16, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo