Nafasi Ya Matangazo

December 16, 2009

Warembo kumi watakaoingia katika shindano la kumsaka KISURA WA TANZANIA 2009 wakionyeshwa mbele ya waandishi wa habari jijini hivi karibuni na Uongozi wa Beautiful Tanzania Agency ambao ndio wameandaa shindano hilo litakalofanyika Dec 17 ,2009 katika hotel ya Movenpic na mshindi atapewa shilimgi milioni tano.(5m/-)
Posted by MROKI On Wednesday, December 16, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo