Nafasi Ya Matangazo

November 17, 2009

Mbunge wa Same Mashariki alivyolilia wapika kura wake GohaMbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango Malecela akilia kwa uchungu juzi baada ya kufika kijiji cha Goha kulipo tokea maporomoko na kuuwa watu 24 Wilayani Same. Anne Kilango akitembezwa katika eneo la maafa kijiji cha Goha Kitongoji cha Manka.
Anne Kilango akiomba dua ya kuwaombea Mareheme Mungu awabariki...
Msafara wa kumpokea Mbunge wao ulipokuwa ukiteremka...Viroba vya Sukari vya msaada vikishushwa.
Posted by MROKI On Tuesday, November 17, 2009 2 comments

2 comments:

  1. Kaka watu wanajua kutafuta kura!
    Analia!

    Wakati wa kampeni nasikia huwa wanaamkiaga mpaka watoto wadogo hao. 'Shkamoo mwanangu.' KhaaH

    ReplyDelete
  2. acha majungu wewe...unjuaje kama halii kweli

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo