KARIBUNI SANA KATIKA BLOGU YENU YA JAMII AMBAYO INA LENGO LA , KUELIMISHA, KUBURUDSHA NA KUKOSOA PALE INAPOBIDI BILA KUATHIRI UPANDE WOWOTE WA JAMII . MAONI YENU NI MUHIMU SANA KATIKA KUENDELEZA BLOGU HII. MAONI TUTOAYO YAZINGATIE AMANI NA UPENDO, LUGHA ZISIZOZINGATIA MAADILI YA KITANZANIA NA AFRIKA HAZIRUHUSIWI.
November 15, 2009
Hongera sana Mheshimiwa Rais... Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akimpa mkono wa pongezi Rais wa Zanzibar, Dk. Amani Abeid Karume baada ya kutunukiwa Sahada yake ya heshima ya Uzamifu kutoka Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Herbert Kairuki Dar es Salaam katika mahafali ya 7 ya chuo hicho.
 
©FATHER KIDEVU | Tarehe: Sunday, November 15, 2009 | Permalink |


Maoni: 0


Idadi ya watu