Nafasi Ya Matangazo

November 18, 2009

Spika wa Bunge, Samuel Sitta akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Dr. Asha - Rose Migiro alipomtembelea ofisini kwake, Makao Makuu ya Umoja huo mjini New York Marekani. Spika yupo Jijini New York kuhudhuria Mkutano wa pili wa kamati ya maandalizi ya mkutano wa Maspika wa Mabunge Duniani utakaofanyika Julai 2010 huko Geneva.
Posted by MROKI On Wednesday, November 18, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo