Nafasi Ya Matangazo

June 28, 2009

Ofisa wa Huduma kwa wateja wa Kampuni ya simu za Mkononi ya Tigo, Mkamba Ally akimsaidia wateja wa mtandao huo wa simu wakati walipotembelea banda lao la Maonyesho Viwanja wa Mwalimu Nyerere Dalaam jana.
Watoto wakiburudika katika banda la Tigo kwa kucheza mpira.
Vijana wa scaut wakiwa nje ya lango kuu kutoa maelekezo kwa waggeni na watembeleaji wa maonyesho.
Posted by MROKI On Sunday, June 28, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo