Nafasi Ya Matangazo

June 28, 2009

Mshindi wa shindnano la kumtafuta Miss Dar City Centre, Sylvia Shally akipozi kwa picha jukwaani baada ya kuvikwa taji lake.
Sylvia Shally akipita jukwaani na vazi la ufukweni wakati wa shindano hilo lililofanyika jijini juzi.
Warembo wakicheza shoo ya ufunguzi.
Matokea ya washindi japo jina la kwanza laonekana kufutwa futwa.
Posted by MROKI On Sunday, June 28, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo