Nafasi Ya Matangazo

October 03, 2024















Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo  na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kundi la Makampuni ya Vodacom Bw. Sakumzi Macozoma pamoja na ujumbe wake mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Oktoba, 2024.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Samsung C & T Corporation Oh Se-chul pamoja na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Oktoba, 2024. 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Rais wa Samsung C & T Corporation Oh Se-chul, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Oktoba, 2024

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiangalia picha ya kuchora aliyo zawadiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kundi la Makampuni Vodacom Bw. Sakumzi Macozoma mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Oktoba, 2024. 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Samsung C & T Corporation Oh Se-chul pamoja na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Oktoba, 2024.
Posted by MROKI On Thursday, October 03, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo