Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kundi
la Makampuni ya Vodacom Bw. Sakumzi Macozoma pamoja na ujumbe wake mara baada
ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Oktoba, 2024.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Samsung C
& T Corporation Oh Se-chul pamoja na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam
tarehe 03 Oktoba, 2024.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Rais wa Samsung C & T
Corporation Oh Se-chul, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Oktoba, 2024
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiangalia picha ya kuchora aliyo zawadiwa na Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kundi la Makampuni Vodacom Bw. Sakumzi Macozoma mara
baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Oktoba, 2024.
No comments:
Post a Comment