Nafasi Ya Matangazo

September 30, 2023



Tume ya Madini kwa mara nyingine imeibuka Mshindi wa Pili kwenye Kundi la  Taasisi Wezeshi za Serikali katika Sekta ya Madini kwenye Maonesho ya Sita  ya Kimataifa ya Teknolojia ya Madini  yaliyofanyika Geita na kukabidhiwa tuzo na Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman.
Posted by MROKI On Saturday, September 30, 2023 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo