Tume ya Madini kwa mara nyingine imeibuka Mshindi wa Pili kwenye Kundi la Taasisi Wezeshi za Serikali katika Sekta ya Madini kwenye Maonesho ya Sita ya Kimataifa ya Teknolojia ya Madini yaliyofanyika Geita na kukabidhiwa tuzo na Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman.



No comments:
Post a Comment